John 7:26

26 aMbona yuko hapa anazungumza hadharani na wala hawamwambii neno lolote? Je, inawezekana viongozi wanafahamu kuwa huyu ndiye Kristo?
Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta.
Copyright information for SwhNEN